Advertisements

Wednesday, November 23, 2016

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA TUCTA MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama   (watatu kulia), Mkuu  wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana  (wapili kulia) na Rais  wa  Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), Gratian Mukoba (kulia) wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa  Sita wa  TUCTA, Novemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi  (TUCTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016.  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu   Mkuu  Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama    na kushoto kwake ni  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Sita wa  Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA) wakiimba wimbo wa Mshikamano kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, Angela Kairuki akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu   Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama   akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016.
 Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) , Gratian Mukoba  akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23,2016.

 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. 


 
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ulumbi Shani ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama  vya Wafanyakazi (TUKTA)  uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na wananchama wa TUCTA baada ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Kazi,  Ajira , Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama na kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Angela Kairuki.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: