ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 1, 2016

MAKAMU WA RAIS APOKEA UJUMBE MAALUM KWA NIABA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA RAIS WA CONGO BRAZZAVILLE



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Joseph Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazavile Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo Mhe. Jean Claude Gakosso (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi ya Congo Brazzaville Mhe. Jean Claude Gakosso (kushoto) ambaye alimkabidhi Makamu wa Rais wa Ujumbe Maalum wa Rais John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso, Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

No comments: