Advertisements

Monday, November 7, 2016

Picha: Nyuki wavamia mchezo wa Ruvu Shooting na African Lyon na kuzua kizaa zaa



WACHEZAJI WA TIMU ZA RUVU SHOOTING WENYE JEZI RANGI YA BLUU NA WA AFRICAN LYON WAKIWA WAMELALA CHINI IKIWA NI KUJIHAMI NA MAKUNDI YA NYUKI AMBAYO YALIKUWA YANAPITA UWANJANI HAPO HIVYO WACHEZAJI, WAAMUZI NA MABENCHI YA WACHEZAJI WA AKIBA WOTE WALILAZIMIKA KULALA CHINI IKIWA NI KUJINUSURU KUTOKANA NA HALI HIYO. KATIKA MCHEZO HUO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA. SHOOTING ILIIBUKA NA USHNDI WA BAO 1-0 LILILOFUNGWA NA MSHAMBULIAJI MWENYE NGUVU ZA MIGUU ISSA KANDURU KUNAKO DAKIKA YA 19.
Refa na wachezaji wakiwa wamekimbia kutoka uwanjani kuwakimbia nyuki waliovamia uwanja ghafla
Benchi la ufundi na baadhi ya wachezaji pamoja na msaidizi wa refa wakiwa wamelala chini kuepuka nyuki hao 
Nyuki si mchezo kila mtu alilala chini na kutibua kwa muda mechi hiyo.

No comments: