Advertisements

Tuesday, November 8, 2016

PITA PITA YA KAMERA YA VIJIMAMBO TRUMP TOWER NEW YORK CITY

Ulinzi mzito mbele ya jembo la Trupm Tower New York City, wa Marekani wa wanasubiri matokeo ya uchaguzi wa kihistoria wa kumpata rais wa 45 wa Marekani kati ya Mama Clinton na Trump. 

Hapa ni Trump Tower mbele kuna roli kubwa lenye mchanga hiyo yute ni kuzua kitu chochote cha hatari.
No comments: