Advertisements

Monday, November 7, 2016

SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA TAWI LA CCM-NY KWA MH. RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Tawi la CCM New York linamtumia salamu za rambirambi Mh. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli kwa kufuatia kifo cha aliyekuwa spika mstaafu wa Bunge la jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye pia ni kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi Mh. Samwel Sitta. Kifo cha Mh. Sita si pengo kwa familia yake tu bali ni pengo kwa Chama Cha Mapinduzi na Taifa kwa ujumla.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MH. SITTA MAHALI PEMA PEPONI. AMEN:

Mwenyekiti wa Tawi CCM-NY
Seif Akida

No comments: