ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 1, 2016

UKAWA YASHINDA UMEYA UBUNGO

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob akizungumza baada ya kichaguliwa nafasi hiyo kushoto ni Naibu Meya wa manispaa hiyo Ramadhani Kwangaya na kulia ni mkurugenzi wa manispaa hiyo John Kayombo. (Picha na Loveness Bernard)

Diwani wa Kata ya Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob ameshinda nafasi ya Umeya Manispaa ya Ubungo katika uchaguzi uliofanyika leo baada ya ule wa awali kuhairishwa. Amepata jumla ya kura 16 za UKAWA na Mgombea Wa CCM kura 2 huku Naibu Meya wa UKAWA akishinda kwa kura 15 dhidi ya kura 3 za CCM.

2 comments:

Anonymous said...

HONGERENI haki daima haipotei.
Jambo la msingi kabisa na la muhimu kwenu wana Upinzani wote, Hebu piganieni haki na swala zima la KATIBA MPYA ili kupata haki na hasa Tume yetu ya Uchaguzi ni JIPU hasa linahitaji ufumbuzi kabla ya kuelekea 2020! Hili ni jambo muhimu kuliko yote tunalia na tume ya uchaguzi ambayo ni hatari kwa waTanzania mambo wanayofanya ni ya ajabu na kuweka rekodi za uongo ?! Hii tume ni hatari!! Nawasilisha.

Anonymous said...

Hata hiyo 20 20 lazima ccm ichukue tena pale hakuna Raisi upinzani Mboe zero brain Lowasa kashachoka zito msanii wa Bongo Fleva....lipumba chali....Upinzani bado sana Tanzania.....ccm itawaburuza tuu...Arusha Dar Mbeya watapata umea ila anagalia mikoa yote ya Tanzania upinzani upo sana mikoa gani???? Vijijini je??? Wanaupinzani????