Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akifafanua jambo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri, Dkt. Mohamed Abdel Aty (mwenye tai nyekundu), alimpomtembelea ofisini kwake kuona fursa mbalimbali za uwekezaji, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri, Dkt. Mohamed Abdel Aty (kushoto), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, picha za miradi ambayo Serikali ya Misri inaifadhili nchini Tanzania, alipomtembelea ofisini kwake kuona fursa mbalimbali za uwekezaji.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Misri, Dkt. Mohamed Abdel Aty, akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment