ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 19, 2016

ASSALAM ALAYKUM


Assalamu alaykum.
Leo tulifanikiwa kumuona mtoto Ummu Salama.

Kwahio tujitahidini tuzipate milioni 15 za tanzania Naamini kwa idadi ya Watu walokuepo tutaweza kuzikushana kwa muda mfupi tukijaaliwa.
Mchango huu tutaanza rasmi leo na tujitahidini tukamilishe hesabu hii ijumaa.
Kwa wale walioko UK tuma pesa kwa kupitia
Saba Traders Account 78395061 Sort 090128
Au wasiliana na Balozi mob 07846255735
Tafadhali weka ref Abuu Zam.
Vilevile nijuulishe kwa whatsapp +447947468729.

Kwa wale waliopo USA, Europe au Gulf unaweza kutuma kwa kuputia Western Union Anapokea Abuu Zam Tafadhali nijuulishe kwa whatsapp +447947468729.

Kwa waliopo Tanzania nipigie simu kwa whatsapp au simu Zantel +255777917870.

Au unaweza kuwasiliana na mama wa mtoto na kumtumia moja kwa moja wasiliana nae kwa +255777257269.

Umoja ni nguvu kama kama vile watu wanapo piga kura huwa moja moja tu lakini zikihesabiwa huwa milioni na sisi tukijitokeza kwa wingi basi zitafika milioni 15 tukijaaliwa.
Kwahio mchango umeanza rasmi target yetu ijumaa.
Na hizo ndio picha za mtoto mwenyewe.
Shukran

No comments: