FAMILIA YA DR HAPPINESS MBEYELA NA NEEMA MBEYELA YA DAR ES SALAAM TANZANIA. TAREHE 26 DECEMBER I MIAKA 20 TOKA MAMA YETU KIPENZI KUTUTOKA TUNAKUKUMBUKA MAMA KWA UPENDO WAKO. UNAKUMBUKWA HASA NA WAJUKUU ZAKO HELEN,HARRIS NA HOPE WIMILE PIA NA NDUGU NA MARAFIKI ZAKO. BWANA ALITOA NA
BWANA ALITWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE AMEN.
No comments:
Post a Comment