Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dk.Tonia Kandiero alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Mwakilishi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dk.Tonia Kandiero alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment