Picha mbalimbali za Wafanyakazi wizara ya fedha ofisi ya muhasibu mkuu wakimuaga mfanyakazi mwenzao mrs.Rehema Buzohera.Amestaafu baada ya miaka 43 ya utumishi wa umma
mrs.Rehema Buzohera amefanya kazi Wizara ya Kilimo, Mawasiliano na Uchukuzi, Viwanda na Biashara, Nishati na Madini,ofisi ya raisi Mipango na Uwezeshaji na Wizara ya Fedha na Mipango.
mrs.Rehema Buzohera qkipewa zawadi mbalimbali na wafanyakazi wenzake.
No comments:
Post a Comment