ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 19, 2017

KAMPUNI YA CHINA YA JIANEXI-GEO ENGINEERING GROUP CORPORATION YAKABIDHI SAMANI ZA OFISI KWA WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akipokea moja ya samani za ofisi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jianexi-Geo Engineering Group Corporation, Bw. Chen Xianghua wakati wa hafla ya makabidhiano ya samani hizo kwa hiyo iliyofanyika leo 19/01/2017 Jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jianexi-Geo Engineering Group Corporation, Bw. Chen Xianghua wakiweka saini Hati za Makabidhiano ya Samani za ofisi mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya makabidhiano ya samani hizo kwa hiyo iliyofanyika leo 19/01/2017 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jianexi-Geo Engineering Group Corporation, Bw. Chen Xianghua wakibadilishana Hati za Makabidhiano ya Samani za ofisi mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya makabidhiano ya samani hizo kwa hiyo iliyofanyika leo 19/01/2017 Jijini Dar es Salaam.

(Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)

No comments: