'hakika kila nafsi itaonja mauti' kifo kila mmoja atakutana nacho, atapita njia hiyo, ujumbe mzito tujiandae na safari hiyo
kaka Pius Mutalemwa akiweka ubani kwenye kietezo kumuombea dua marehemu mama yake mzazi aliefariki na kuzikwa Tanzania, kisomo kilifanyika nchini marekani
Ustadh Malik na Ibrahim wakiongoza kisomo cha marehemu mama mpendwa kilichofanyika Langley Park Maryland U.S.A.
Picha ya chini na juu Sunday Shomari akisoma historia fupi ya marehema mama Jamila Fungameza
wakati wa kisomo cha kumuombea dua
Sunday Shomari akiwa mshereheshaji wa shughuli nzima katika kisomo
Mwenyekiti wa TAMCO Bw Ali Mohammed akisoma dua, kisomo kilichohudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki waliofika kuungana na kaka yetu Pius katika kisoma cha mama ya ke mpendwa
Kaka Pius Mutalemwa ( Mwenye kanzu Nyeupe) akiwa kwenye dua ya pamoja kumuombea marehemu mama Jamila Fungameza
No comments:
Post a Comment