Vurugu za wanaamanaji zilizopelekea waandamanaji 95 kushikiliwa na polisi kutokana uvunjifu wa amani kama vile kuvunja vioo vya migahawa na maduka yakiwemo magari yote ni kupinga Urais wa Donald Trump na kesho kutakua na maandamano ya amani kutoka kwa wanawake wanao kadiriwa kuwa kama laki mbili mpaka milioni moja. Wanawake wanatarajiwa kutoka majimbo yote ya Marekani kupinga kauli za udhalilishaji alizokua akisisema Rais Trump wakati wa kampeni na kabla ya hapo.
Waandamanaji wakiwa chini ya ulinzi wa polisi ambao nao wameletwa kutoka sehemu mbalimbali za Marekani..
Waandamanaji wakiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kufanya uvunjifu wa amani kwenye maandamano yao.
Waandamanaji wakijisalimisha baada ya polisi kutupa mabomu ya machozi.
No comments:
Post a Comment