ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 30, 2017

SHUKRANI ZA DHATI.

Familia  ya Bw. Pius na Bi Juster Mutalemwa wa Silver Spring Maryland, inapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa ushirikiano wa hali na mali kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki ulionyeshwa  kutoka pande zote za dunia hususani Kutoka kwa wana DVM na nyumbani Tanzania.wakati wa msiba na baada ya msiba wa mama yao mpendwa marehemu Jamila Fungameza(mama Pius) aliyefariki dunia Disemba 15, na kuzikwa Disemba 17,  2016 huko Picha ya ndege Kibaha, Tanzania.

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
 إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ‎‎) 
 "We surely belong to Allah and to Him we shall return."
kwa picha zaidi za kisomo cha arobaini ya marehemu Mama Jamila Fungameza,
BOFYA HAPA

No comments: