ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 12, 2017

TANZIA: TAARIFA YA MSIBA WA ABDALLAH BYABUSHA MAREKANI NA TANZANIA

Ndugu wanajumuiya nasikitika kuwataarifu kuhusu msiba wa Bw. Abdallah Byabusha, aliyefariki nyumbani Tanzania. Bw. Abdallah Byabusha ni kaka yake mkubwa mwanajumuiya Dr. Abas Byabusha, na pia ni Baba Mkubwa wa Farida Byabusha na Mjomba wa Ahmad Byabusha.

Kama ilivyo mila na desturi yetu basi tuwafariji wanajumuiya wenzetu katika mda huu mgumu.

Wafiwa wanapatikana kwenye namba zifwatayo...

Dr. Abas Byabusha : +255 787755498
Judy Byabusha (Mke wa Dr. Abas): (914) 844-3935
Ahmad Byabusha : (914) 316-9557
Farida Byabusha : (914) 373-4325‎‎

Tuwaombee familia ya Byabusha na jamaa na marafiki wote waliyo guswa na msiba huu.‎
Taratibu zaidi tutawajulisha kadiri tunapopata taarifa.
Inna lillah wainna ilayhi rajiuun.

Asanteni‎

Jackline Kamazima
Katibu
NYTC‎

No comments: