Ndugu wanajumuiya natumia nafasi hii kuwa taarifu kuhusu msiba wa Baba yake mzazi mwanajumuiya, Monica Lyimo. Marehemu Mzee Lyimo amefariki nyumbani, Moshi, Tanzania.
Kama ilivyo desturi yetu, tumfariji mwanajumuiya mwenzetu katika mda huu mgumu.
Kwa sasa Monica Lyimo anapatikana kwenye namba ifwatayo 347-608-4177. Taratibu zaidi tutawajulisha kadiri tunapopata taarifa.
Mama Monica Lyimo Anafanya utaratibu safiri kesho kwenda mazikoni Tanzania kesho.
Tunaomba Wanajumuiya tumfariji mama yetu na tutoe michango ya hali na mali kadiri tutakavyojaaliwa.
Namna ya kutoa michango ni pamoja na kutuma direct kwa mfiwa;
Monica Lyimo
City Bank,
Routing#: 021000089
A/c # : 9956539933
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe. Amina.
Asanteni
Jackline Kamazima
Katibu
NYTC
No comments:
Post a Comment