Waziri Mkuu Kasiim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa
Mkoa wa Njombe kutembelea viwanda vya chai ili kujua changamoto zinazowakabili wawekezaji
na wafanyakazi katika viwanda vya chai.
Waziri Mkuu amesema hayo alipoembelea kiwanda cha chai cha Kibena kilichopo Mkoani
Njombe..
Kiwanda hicho kinachomilikiwa na wawekazaji kimetoa ajira kwa
watanzania zaidi ya elfu mbili miatano,Waziri Mkuu ametoa wito kwa viongozi wa
mkoa wa Njombe.
Mkurugenzi wa Kibena Tea estateBw ALLAN AGOITIS ana amemweleza waziri Mkuu Chai ya
Tanzania inashika nafasi ya Tatu kwauzalishaji wa zao hilo katika nchi za afrika mashariki
Waziri mkuu amesema serkali ya awamu ya tano imedhamiria
kuendeleza viwanda vilivyopo nchini na kujenga vingine ilikukuza soko la ajira
pamoja nakukuza uchumi wanchi
Piamewataka wafanyakazi katika kiwanda hicho kufanya kazi kwa
uaminifu na bidii ili wawekezaji waweze kuendelea kuwepo hapa nchini
No comments:
Post a Comment