Advertisements

Tuesday, January 3, 2017

WEDDING RECEPTION YA BW. WASIA NA BI.LAILA JIJINI HOUSTON, TX

Usiku wa kuamkia Mwaka Mpya wa 2017 Bw. Wasia na Bi. Laila walifanya Wedding RECEPTION kwenye Ukumbi wa Taj Hall ulioko Savoy Drive jijini Houston, TX. Kamera ya VIJIMAMBO ilikuwepo ukumbini kukuletea tukio hilo.

Newly Wed Mr. Wasia akiwa na Mkewe Bi. Laila na kijana wao Zion
Bw. Wasia Maya na Bi. Laila Martin

Lovely couple 
Zion akiwa na Baba na Mama 
3 comments:

Anonymous said...

To be honest wabongo wa Houston wanapiga pamba za ukweli,Mmependeza sana

Anonymous said...

Mdau hapo juu nakubaliana na wewe 100%

Anonymous said...

HARUSI ILIFANA, SAFI SANA. PICHA NZURI.