Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.
Chanzo: Jamii Forums
3 comments:
Vizuri Daktari Waziri akapambana Na Kipindupindu kuliko maisha Na mitindo ya kuishi
Mdau Yonga2012 FYI Tanzania haitambui ushoga na kupractice ushoga ni uvunjifu wa sheria. Waziri yuko sahihi.
Hivyo hiyo ni kazi ya Waziri wa Afya kutoa maagizo ya kukamata mashoga
Post a Comment