Friday, February 10, 2017

KISWAHILI SASA NDIO LUGHA YA TAIFA RWANDA

Wabunge nchini Rwanda kwa kauli moja wameridhia kupitisha muswada wa sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa hilo.

No comments: