ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 22, 2017

MAJALIWA AFANYA ZIARA BABATI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la daraja la Bonga- Endanachan wilayani Babati, Februari 22, 2017. Kulia ni Mkoa wa Manyara, Dkt, Joel Bendera na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Raymound Mushi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baba mmoja mabaye jina lake halikupatikana akiwa amembeba mwanae kwa mtindo wa 'Kangaroo Style' wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza na wanakijiji wa Singu wilayani Babati, Februari 21, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: