Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimsikiliza Kamishna Generali Mpya wa Idara ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo. Dk. Makakala ni mara ya kwanza kufanya mazungumzo ya kiutendaji Naibu Waziri huyo tangu alipoteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nchi,
Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimfafanulia jambo Kamishna Generali Mpya wa Idara
ya Uhamiaji, Dk. Anna Makakala wakati alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar
es Salaam leo. Dk. Makakala ni mara ya kwanza kufanya mazungumzo ya kiutendaji
na Naibu Waziri huyo tangu alipoteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni. Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
No comments:
Post a Comment