ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 18, 2017

MISSY T'S VALENTINE PARTY USIPIME

Missy T na baba mwenye nyumba wake wakilishana keki kwa staili yao siku ya Jumamosi Feb 18, 2017 siku Missy T alipofanya Valentine party na kuwaalika rafiki zake kwenye hoteli ya Sheraton iliyopo Silver Spring, Maryland ikiwa kila mtu na couple wake huku huku wakiwa wamechukua vyumba hapo na baadae asubuhi kuendelea na kifungua kinywa hotelini hapo.
Msanii wa Bongo Flava Malaika nae akijumuika kwenye Missy T's Valentine Party.
Benson na mama mwenye nyumba wake wakilishana keki.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 Kwa mapicha kibao baadae.

No comments: