ASALAAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU
Taarifa ya shughuli ya Maulidi tarehe 11 /03/2017 Katika uwanja wa
Madrasat RAHMAN Segerea Mwisho,Dar-es-salaam
Ndugu zetu katika Imani ,Uongozi na Jumuiya ya Madrasat Rahman
Segerea inayofuraha kuwaalika katika shughuli ya maulidi yatakayo fanyika 11/03/2017 hapa segerea mwisho.Kuudhuria kwenu ndio
mafanikio makubwa ya dini yetu tukufu, Pia michango yenu ya hali na mali inakaribishwa.tafadhali wasiliana nasi kwa simu hii 0622617961 kimataifa piga +255 622617961
No comments:
Post a Comment