Mzazi wa mtoto Catherine anaomba msaada wako wa hali na mali kumuweza mtoto huyu mwenye ulemavu aweze kulipa ada yake ili aendelee na masomo .
Mtoto huyu anasoma shule ya St.Bernard, lakini kutokana na mama yake kutokuwa na uwezo hivi sasa wa kulipa ada mtoto yuko nyumbani.
Mama wa mtoto huyu Flora anaomba wasamaria wema kuweza kumsaidia kulipa ada ya mtoto ili aweze kurudi shuleni.
Kwa wale walioguswa mnaweza kutuma msaada kwa kupitia akaunti ya
Evelyn Kamukuru
0112014797900
CRDB BANK
No comments:
Post a Comment