TANZIA ! MSIBA
Almaarufu Bi.SITU Mwasa Amefariki dunia siku ya Jumanne 7 Mchi 2017
Mwana Ilala na Dar-Es-Salaama mashuuri,maarufu Bi.SITU MWASA amefariki dunia siku ya jumanne 7 Machi 2017, marehemu Bi.Sita Mwasa
Kipenzi na mtu wa watu aliyekuwa msatari wa mbele kila wakati katika shughuli za kijamii hapa jijini Dar-es-salaam atakumbukwa kwa mchango na moyo wake mkubwa katika jamii hapa ILALA na jiji zima la Dar-Es-Salaam,ameshika nyazifa mbali katika jamii pia akiwa kada mashuuri wa chama tawala CCM.mara ya mwisho marehem Bi.Situ Mwasa aliandika katika www.facebook.com/situ.allymwasa kuwa anaumwa majeraa kutoka na ajali ya kupinduka na gari,lakini hatujui nini kilichosababisha kifo chake,
Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi.
Innah Lillah wa Innah Lillah Rajiun

No comments:
Post a Comment