Dj Luke aka Mpwa akiwa katika picha ya pamoja na shabiki wa Vijimambo Mama Mlozi ambae ni mama yake Chris (hayupo pichani) siku ya Jumamosi mjini Charlotte, North Carolina nchini Marekani
William Mwandambo akipata chakula na mapochopocho nyumbani kwa Chris na familia yake walipo mwandalia Dinner Mpwa ya siku yake ya kuzaliwa nyumbani kwao Charlotte, North Carolina nchini Marekani.
Picha ya pamoja
1 comment:
Swali la ufahamu Dj Luke, huyo Chris, ni yupi? Ni Christian Mwakapusya, au mwingine? Kwa kuwa huyo mama yake ni Mrs Jackson Mwakapusya.
Ahsante.
Post a Comment