Advertisements

Monday, March 13, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DR. SHEIN AKUTANA NA RAIS MAGUFULI KWA MAZUNGUMZO IKULU YA CHAMWINO MJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein walipokutana kwa mazungumzo Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Jumatatu Machi 13, 2017. 


Picha na IKULU

No comments: