Advertisements

Wednesday, March 1, 2017

FAUZIA NYAGALY AHITIMU MASOMO YA KIDATO CHA SITA

Fauzia Nyagaly akiwa na baba yake NY Ebra siku ya Jumamosi Feb 25, 2017 siku mwanae Fauzia aliposherehekea kuhitimu kidato cha sita katika shule ya Baobab Girls High School iliyopo Bagamoyo. NY Ebra ni mkazi wa Manhattan, New York nchini Marekani.
NY Ebra akiwa na mwanae Fauzia shuleni hapo.
NY Ebra akimkabidhi mwanae Fauzia zawadi za pongezi katika kuhitimu kwake kidato cha sita katika shule ya Baobab Girls High School iliyopo Bagamoyo.
Fauzia katika picha ya pamoja na na wenzake.

2 comments:

Anonymous said...

Nice 1 Ebra kumsaport kwa nguvu taifa la kesho, all the best to her.

Anonymous said...

congratulation Ebra's daughter Fauzia. Keep up the good work and may God bless you!!!