Wakristu wapendwa,
Tumsifu Yesu Kristu.
Kheri ya Mwaka Mpya.
Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi,
wanapenda kuwatangazia ya kuwa,
Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 12 Mwezi Machi, 2017, Saa 8:00 mchana (Sunday 12 March, 2017 at 2 pm).
Tunawakaribisha wakristu wote watanzania na Afrika ya Mashariki wajiunge nasi katika Misa hii.
Pamoja na watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada ya Kiswahili.
No comments:
Post a Comment