Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga.Alhaji Mustapha Selebosi akisisitiza jambo kwenye kikao cha baraza
la madiwani leo kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la
Tanga,Daudi Mayeji kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Kassim
Mbughuni
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza kwenye kikao hicho cha Baraza la Madiwani kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji |
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akizunguza kwenye kikao cha baraza la Madiwani leo kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Kassim Mbughuni |
Baadhi ya Wataalamu wa
Halmashauri ya Jiji la Tanga nao wakiwa makini kuchukua baadhi ya hoja
zilizokuwa zikiwasilishwa na madiwani kwenye kikao hicho cha baraza la
madiwani
Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga (DAS) Faidha Salim akifuatilia kwa umakini kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa Halmashauri Jijini Tanga. |
Baadhi ya Madiwani wakifuatilia
kwa umakini kikao hicho kulia ni Diwani wa Kata ya Central Jijini
Tanga,Khalid Mohamed wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Wakuu wa Idara kwenye Halmashauri
ya Jiji la Tanga wa kwanza kulia ni Mratibu wa Ukimwi Jiji la
Tanga,Moses Kisibo anayefuatia ni Meneja Mkuu wa kituo cha Television ya
Jiji la Tanga (TATV) Mussa Labani wakifuatilia kwa umakini majadiliano
ya kikao hicho
Baadhi ya Madiwani
wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Diwani wa Kata ya Marungu
(CCM) Mohamed Mambea mara baada ya kumalizika kikao cha Baraza la
Madiwani.
Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga (CCM).Alhaji Mustapha Selebosi kushoto akiteta jambo na Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Jiji la Tanga Daudi Mayeji nyuma yao ni Naibu Meya wa
Jiji la Tanga (CUF) Mohamed Haniu mara baada ya kumalizika kikao
cha Baraza la Madiwani leo.
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment