Advertisements

Monday, March 27, 2017

SHABAN NA MKEWE WAWAFANYIA SHEREHE WATOTO WAO

Mtoto Isaac akionyesha tabasamu kali siku ya Jumapili March 26, 2017 Durham, North Carolina baba na mama walipowafanyia sherehe ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki walipojumuika pamoja na watoto wao.
Mtoto Abraham akipata ukodak moment.
Baba mzazi akiongea jambo na kuwakaribisha rasmi wageni wake waliofika na familia zao.
Mama mwenye nyumba akimsikiliza mumewe.
Dj AJ mwenye headphone akifanya vitu vyake huku madjs wenzake Allena na Mai wakiandaa miziki yao.
Wageni waalikwa wakipata ukodak moment.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: