Advertisements

Tuesday, April 25, 2017

DATUU ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA MARAFIKI ZAKE

Datuu akipata picha ya kumbukumbu ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyohudhuriwa na marafiki zake siku ya Jumamosi April 22, 2017 iliyofanyika MGM National Harbor Washington, DC.
Datuu katika pozi siku aliposhereheka na marafiki zake siku  ya kuzaliwa kwake iliyofanyika MGM Natinal Harbor Washington, DC. 
Marafiki wakijumuika pamoja na Datuu kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake.
Keki.
Upodozi na kioo
Kwa picha zaidi bofya soma zaidiNo comments: