Advertisements

Saturday, May 13, 2017

IBADA YA SHUKRANI DMV YA MPENDWA WETU JOSEPH NYANGUSI

Familia ya Geofrey Kinyashi wa Ellicott city MD. Inakukaribisha kwenye Misa ya Shukurani kwa ajili ya mpendwa ndugu yao..

JOSEPH D NYANGUSI

Aliefariki nyumbani Tanzania Tarehe 19 March 2017 na kuzikwa tarehe 21 March 2017..
Misa itafanyika katika kanisa la The Way Of Cross Gospel Ministry siku ya Tarehe 14 May 2017 kuanzia saa 9:00 mchana mpaka 11:00..
Address:
405 Riggs Rd Washington DC
WOTE MNAKARIBISHWA.

No comments: