Waislam wa New York tunayo furaha ya kuwakaribisha katika Iftar ya pamoja itakayo fanyika siku ya Jumamosi 06/03/2017
Address ni
30 Overhill rd Mt Vernon, NY 10552
kuanzia saa mbili usiku.
Ukipata taarifa hii tafadhali muarifu mwenzako wote mnakaribishwa kama una swali tafadhali wasiliana na
Bilali 917 335-5132
Amiri 551 3582719
Akida 917557 3195
mwanamkasy
No comments:
Post a Comment