Advertisements

Thursday, May 18, 2017

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AWAFUNDA VIONGOZI WAANDAMIZI WA UHAMIAJI, MKOANI KILIMANJARO

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira (Katikati) akiongoza Kikao kazi cha Viongozi Waandamizi wa Idara ya Uhamiaji (hawapo pichani). Wa pili kutoka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala(wa pili toka kulia) ni Kamishna wa Uhamiaji - Zanzibar, Johari M. Sururu(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA, Kamishna Maurice David Kitinusa(wa kwanza kushoto) ni Kamishna wa Utawala na Fedha, Edward P. Chogero.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala akitoa hotuba fupi kwenye Kikao kazi cha Maafisa Waandamizi wa Idara ya Uhamiaji kilichofanyika hivi karibuni Mjini Moshi.
Maafisa Waandamizi wa Uhamiaji wakifuatilia kwa makini hotuba ya Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala(hayupo pichani)kwenye Kikao kazi hicho kama inavyooneka katika picha.
Kamishna wa Pasipoti na Uraia, Gerald Kihinga akitoa ufafanuzi katika Kikao kazi cha Viongozi Waandamizi wa Idara ya Uhamiaji mbele ya Katibu Mkuu Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa kikao hicho kilichofanyika hivi karibuni mjini Moshi
.Kamishna wa Usimamizi na Udhibiti wa Mipaka, Samuel R. Magweiga akifafanua jambo kwa mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira(hayupo pichani) katika kikao hicho.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala(kulia) akimuongoza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira kukagua moja ya majengo mbalimbali ya Chuo Cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Meja Jenerali Projest Rwegasira akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Makamishna wa Idara ya Uhamiaji(waliosimama). Wa pili toka kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala(wa pili toka kulia ni Kamishna wa Uhamiaji - Zanzibar, Johari M. Sururu(wa kwanza kulia)ni Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA, Kamishna Maurice Kitinusa(Picha zote na:- Kitengo cha Uhusiano Chuo Cha Uhamiaji cha Kikanda-TRITA Moshi, Kilimanjaro).

No comments: