Advertisements

Monday, May 22, 2017

MBUNGE LUSHOTO AWAPA POLE WAKULIMA WA MBOGAMBOGA NA KUWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI

Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akitazama namna mbogamboga za wakulima kwenye Jimbo lake zilivyoharibika hivi karibuni kutokana na miundombinu ya barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na vifusi na mawe kabla ya kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga (Tana Road ) ambapo aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza uzalishaji.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto Mkoani Tanga (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katika akizungumza na wakulima wa mbogamboga kwenye Jimbo lake hivi karibuni ambao bidhaa zao ziliharibika kutokana na miundombinu ya barabara ya Mombo hadi Lushoto kudondokewa na vifusi na mawe kabla ya kuondolewa na wakala wa barabara mkoani Tanga (Tana Road ) ambapo aliwapa pole wakulima na kuwataka kuongeza uzalishaji.

Kushoto ni mmoja wafanyabiashara wakimuelezea Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia hasara walizozipata kutokana na ubovu wa miundombinu.
Baadhi ya bidhaa za mbogamboga ambazo zimeharibika kama zinavyoonekana.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia kulia akiwa na mfanyabiashara mara baada ya kuangalia namna alivyopata hasara kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo pia alitumia nafasi hiyo kuwapa pole.
Mbunge wa Jimbo la Lushoto(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katika akiwa na wananchji wa Jimbo hilo wakati alipowatembelea hivi karibuni kuona athari za mafuriko kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Lushoto Ramadhani Mahanyu

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

No comments: