ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, May 13, 2017

MISA - JUMAPILI - 14 MAY 2017 NEW YORK

Image result for MISA YA JUMAPILI NEW YORK
Wakristu wapendwa,

Tumsifu Yesu Kristu.

Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi, wanapenda kuwatangazia ya kuwa,

Misa yetu ya kiswahili itafanyika Jumapili, tarehe 14 Mwezi Mei, 2017, Saa 8:00 mchana (Mother's Day, Sunday 14 May 2017 at 2 pm).

Tunawakaribisha watu wote wanaopenda kuhudhuria ibada yetu ya Kiswahili.

Anwani yetu ni: Kanisa la Mt. Cecilia, 
120 East 106 Street, 
New York, NY 10029. 
Between Lexington and Park Avenue. 

Chukua Train # 6. Mpaka kituo cha 110 St. Halafu tembea ukirudi mpaka 106 St.

Ni matumaini yetu kwamba mtafika kwa wingi. Karibuni sana tumshangilie Bwana, kwa lugha yetu ya Kiswahili. Tuwaombee na mama zetu.

Mbarikiwe.

Kutoka kwa Padre Peter Mushi na Padre Godfrey Amobi

Karibuni...sana..

No comments: