Advertisements

Sunday, May 28, 2017

YUSUF NYANG'ORO NORTH CAROLINA AHITIMU MASOMO YAKE

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and suit
Watatu toka kushoto ni Yusuf Nyang'oro akiwa katika picha ya pamoja na familia yake siku alipohitimu masomo yake shule ya Cary Academy ya Durham, North Carolina nchini Marekani. Kutoka kushoto ni baba mzazi wa Yusuf Bwn. Julis Nyang'oro. Alma Nyang'oro dada ya Yusuf na kulia ni mama mzazi Bi. Alu Kalala Nyang'oro.
Wazazi wa Yusuf akiwemo Yusuf wakipokea wageni waliojumuika nao nyumbani kwao kusherehekea kuhitimu kwa Yusuf ambaye anatarajiwa kujiunga na masomo ya juu chuo kikuu.
JamesThindwa rafiki mkubwa wa familia aliyetokea Chicago, Illinois akiongea machache kumpongezaYusuf kwa kuhitimu masomo yake.
Mama mzazi Alu Kalala Nyang'oro nae akitoa pongezi zake.
Yusuf akiwashukuru ndugu, jamaa na marafiki wa familia kwa kujumuika nae nyumbani kwao katika kusherehekea kuhitimu kwake.
Mama mzazi akimchumu Yasuf katika kuonyesha furaha kubwa kwa mwanae.
Mzee Yusuf akitoa neno kwa wajina mjukuu wake.
Baba mzazi wa Yusuf Bwn. Julis Nyang'oro akitoa neno la shukurani.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi



































No comments: