Advertisements

Sunday, June 25, 2017

RATIBA KAMILI YA EID EL FITR LEO JUMAPILI DMV


EID MUBAARAK
Assalamu Alaykum Rahmatullaahi Waarakaatuh 

Kwa mujibu wa Misikiti ya maeneo ya DMV, leo in sha Allah ni siku ya Eid El Fitr.

Kwa niaba ya uongozi wa TAMCO, Tunapenda kuwapa mkono wa Eid, na Kuwakaribisha rasmi katika maadhimisho ya siku kuu hii tukufu.

Shughuli yetu itaanza na chai ya pamoja, itakayofanyika baada ya salaatil Eid, takriban saa tatu asubuhi.

Shughuli za mchana zitaanza kuanzia saa tisa ya jioni na kumaliza saa tatu usiku.

NB: Hall hili litakuwa wazi  muda wote, kuanzia asubuhi mpaka saa tatu usiku kwa wale watakaopenda kubaki baada ya chai.

Address:
INDIAN SPRINGS TERRACE LOCAL PARK 

9717 Lawndale Dr,
Silver Spring, MD 20901

Kwa maelezo zaidi
Wasiliana na 

Ali Mohamed 3015009762

Asha Hariz 7036242409

Shamis Abdullah 2025091355

Ali Mikidadi 2016282133

Wabillahi Tawfiiq.

No comments: