Msanii mwingine kutoka Africa aliyeshinda tuzo BET ni Wizkid ameshinda tuzo ya Best African act na washiriki wengine walioshindana nae katika tuzo hiyo ni Stonebwoy, Nasty C, Babes Wodumo, AKA, Davido, Mr Eazi and Tekno. Wizkid anakua msanii wa kwaza wa Afrika kushinda tuzo mara mbili kwenye BET Awards.
Msanii wa Bongo Flava Ray Vanny akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wengine walioshiriki tuzo za BET.
Msanii Ray Vanny akionyesha tuzo yake
Msanii Ray Vanny akionyesha tuzo yake
No comments:
Post a Comment