Advertisements

Tuesday, June 27, 2017

TASWIRA YA GRADUATION BBQ JITIRIRISHE HAPA CHINI
Hapa ni Gaston akiongoza mjomba wa Linda akiongea machache mbele ya wageni walikwa siku hiyo ya Graduation Bbq hiyo iliyofanyika 30 Overhill Rd, Mt Vernon. NY, Vijana waliofanyiwa BBQ hiyo ni Linda Mkapa, Noela Malecela, Crispin Luangisa, Roy Njawa na Michael Chiume. Vijana hao walifanyiwa BBQ hiyo kama pongezi na pia kuwapa chagizo ya kujituma zaidi hili kutimiza ndogo zao za kielimu na maisha kwa ujumla.

Muwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Modest Mero akitoa usia kama mzazi uku akisikilizwa kwa makini na vijana hao.
Neema, mama mzazi wa Noela akitoa shukrani mbele ya wageni waalikwa na akutoa usia na pongezi kwa mtoto wake kutokana na juhudi aliyofanya kimasoma shuleni na kupatiwa full scholarships ya kusoma Haward University. 
Kwa picha zaidi nenda kwenye soma zaidi.

Bwana Chiume na mama mwenye nyumba wake wakitoa shurkani mbele ya wageni waalikwa.
Bwana Luangisa akitoa wasifu wa mtoto wake mbele ya wageni waalikwa.No comments: