Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi mbali mbali baada ya Swala ya ElIdd Fitri iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherekekea kumalizika kwa Mfungo wa MweziMtukufu wa Ramadhan

Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga alipokuwa akitoa khutba baada ya Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan aliyohudhuriwa na Viongozi wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali wa Mkoa wa Mjini Magharibi leo, Juni 26, 2017.
Baadhi ya waislamu wanaume waliohudhuria katika swala ya EId elfitri wakimsikiliza Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga aklipokuwa akitoa khutba ya Swala ya El Idd elfitri iliyoswaliwa katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja katika kusherehekea Sikukuu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Waislamu wanawake wakiwa katika Swala ya Eid el fitri iliyoongozwa na Sheikh Fadhil Soraga katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjni Unguja leo katika Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Viongozi wa Kitaifa na Waislamu mbali mbali walihudhuria
(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
No comments:
Post a Comment