WANANCHI JIJINI MWANZA WAFURIKA OFISI YA TRA KULIPIA KODI YA MAJENGO
Wananchi wa Jiji la Mwanza wakiwa wamepanga foleni nje ya Jengo la Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania Kanda ya Mwanza, kusubiri muda wao wa kwenda kulipia Kodi ya Majengo ambayo leo Juni 30 ndio mwisho wa kulipia kwa wale ambao bado.
No comments:
Post a Comment