Advertisements

Tuesday, June 27, 2017

WAZIRI MAKAMBA AWATAKA WAISLAMU KUENDELEZA MSHIKAMANO

Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akizungumza wakati wa baraza la Eid lililofanyika kwenye shule ya Sekondari Jumuiya mjini Tanga kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kushoto ni Shehe wa mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu. 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumza katika baraza hilo kushoto ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa. 
Shehe wa mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu akizungumza katika baraza hilo ambapo aliwataka waislamu kuendelea kutenda mambo mema kulia ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba na mkuu wa mkoa wa Tanga,Martine Shigella 
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akilakiwa na waumini wa dini ya kiislamu wakati akipokwenda kwenye baraza la Eid ambalo lilifanyika katika shule ya Sekondari Jumuiya
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akilakiwa na waumini wa dini hiyo wakati alipokwenda kwenye Baraza la Iddi ambalo lilifanyika katika shule ya sekondari Jumuiya
Meza kuu wakifuatilia matukio mbalimbali katika Baraza hilo
Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
Sehemu ya waumini wakimsikiliza Waziri Makamba kwenye Baraza hilo leo
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba kulia akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella

Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

No comments: