Advertisements

Sunday, June 25, 2017

WILLIAM KUNDA TATE AFANYIWA SHEREHE YA KUINGIA CHUO KIKUU

 William Kunda Tate ( Tshirt Blue) akiongea machache kuwashukuru wazazi na wageni wote waliofika nyumbani kwao Laurel, Maryland siku ya Jumamosi June 24, 2017 kushereheka pamoja nae kuhitimu maosmo ya mwanzo na kufuzu kuingia chuo kikuu cha Hampton  kilichopo Virginia. Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production.
 kushoto ni wazazi wa Kunda, Uncle, Kunda na Aunty wakimhusia maneno ya msingi kuhusiana na chuo.
Mjomba Elvis Saria akimpa neno la busara huki Kunda (kulia) akimsikiliza kwa makini.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Wageni waliojumuika pamoja na familia kusherehekea kwa Kunda (hayupo pichani kuingingia chuo kikuu wakiwasikiliza wazazi.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiwasikiliza wazazi.
Ndugu, jamaa na marafiki waliojumuika pamoja.

No comments: