Advertisements

Monday, July 3, 2017

BONDIA IBRAHIMU CLASS ATUA NCHINI NA UBINGWA WA DUNIA

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council 'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council 'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point kushoto ni bondia shabani kaoneka na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini 
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwasili nchini katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere akiwa na mkanda wa ubingwa wa Dunia alioupata Ujerumani bunaotambuliwa na Global Boxing Council 'GBC' baada ya kumdunda Jose Forero kwa point 
Kocha wa kimataifa wa mchezo w masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiteta jambo na bingwa wa Dunia wa Mchezo wa masumwi nchini Ibrahimu Class 
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini 
Bondia Ibrahimu Class ambae ni bingwa wa Dunia wa mkanda wa GBC katikati akiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati akiwasili na kanda wa ubingwa wa Dunia katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius Nyerere na kupokelewa na baadhi na mashabiki pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi nchini
bondia Ibrahimu Class akiwa na ubingwa wake alipowasili

No comments: