Shilla akiwa na baba mwenye nyumba wakipata ukodak wa pamoja mume wa Shilla alisafiri kutoka Tanzania hadi Marekani kwa ajili ya siku hii maalum ya mke wake.
Mtoto wa kwanza wa Shilla akiongea mbele ya wageni waalikwa.
Cake ya Birthday lady
Shilla akizima mshumaa juu ya keki
Shilla akikata keki
Farida mdogo wa birthday lady akionyesha furaha mbele ya ukodak
1 comment:
Wooow....it was class and beautiful party!!!
Post a Comment