Advertisements

Tuesday, July 11, 2017

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI BAOZI DKT. AZIZ MLIMA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ,Balozi Dkt. Aziz Mlima (kulia) akibadilishana kadi za mawasiliano na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Korea-Afrika (Korea-Africa centre) cha Jamhuri ya Korea, Balozi KIM IL Soo kabla ya kufanya mazungumzo. 
Balozi Mlima akiwa katika mazungumzo na Balozi KIM ambapo walijadiliana namna ya Tanzania na Korea zitakavyoboresha mahusiano ya kidiplomasia na kusisitiza umuhimu wa Chuo cha Diplomasia na Kituo cha Korea-Afrika kuwa na ushirikiano katika nyanja mbalimbali ikiwemo kubadilishana walimu na wanafunzi. 
Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia mazungumzo. kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Bi. Justa Nyange 
Ujumbe wa Jamhuri ya Korea ukifuatilia mazungumzo 
Mazungumzo yakiendelea 
Balozi Mlima akimkabidhi Balozi KIM kifurushi cha zawadi ya kahawa na chai ya Tanzania 
Picha ya Pmoja 

No comments: